
Wahitimu wote mnataarifiwa kuwa Mahafali ya 50 ya Chuo cha Maji yatafanyika tarehe 02 Disemba, 2026 katika Ukumbi wa Mlimani City kuanzia saa 3:00 asubuhi
Wahitimu wote mnatakiwa kuhakiki Majina yenu kwenye mfumo wa SIMS kuanzia leo tarehe 12/10/2026 hadi 23/10/2026, majina hayo yasomeke kama yalivyo katika cheti cha kidato cha nne. Taarifa zote muhimu zijazwe kwa usahihi ikiwemo mwaka wa kuzaliwa, sanduku la posta, mwaka wa kuanza masomo na picha ya passport size yenye kivuli cha blue. Marekebisho yote ya majina yatumwe kwenye barua pepe: dass@waterinstitute.ac.tz