JOB DESCRIPTION
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. Ukusanyaji na ukaguaji wa takwimu za maji;
ii. Kutunza takwimu za maji;
iii. Kuingiza takwimu za maji kwenye fomu Na: H: 12 tayari kwa kutumiwa kwenye michoro;
iv. Kuchora ‘hydrograph’ za maji;
v. Utengenezaji visima vya rekoda, stendi za winchi, sinia za maji ‘cable way post”;
vi. Kufanya matengenezo ya vifaa vyote vya kupimia maji na hali ya hewa;
vii. Kuingiza takwimu kwenye kompyuta; na
viii. Kufundisha wasoma vipimo.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa Wahitimu wa vyuo vya ufundi vinavyotambuliwa na Serikali ambao wana cheti cha ufundi (FTC- Hydrology)
REMUNERATION TGS C
