Ubungo, University Road, Dar es Salaam 24Hrs
Home  /  Job Board  /  Vacancy
FULL TIME · CLOSED

FUNDI SANIFU MSAIDIZI DARAJA LA II (MAABARA) - 7 POST

UMATI · Dar es Salaam

JOB DESCRIPTION

DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i.Kufanya usafi wa kawaida wa vifaa vya maabara yaani ‘Glassware’ kwa kufuata taratibu za kimaabara;

ii.Kuchukua sampuli za majisafi na majitaka;

iii.Kuandaa vifaa kwa ajili ya uchunguzi wa kiumbo, kikemikali na kibaiolojia (physical, chemical and bacteriological);

iv.Kufanya uchunguzi vipimo vyepesi (elementary/simple parameters) vya majisafi na majitaka.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne au sita (vi) waliofuzu mafunzo ya miaka miwili (Technician Certificate) ya ufundi sanifu wa Maabara ya maji kutoka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION TGS A